Beautiful boy yes that for sure But baby girl he's playing you like a toy He's been in my bed Sunday to Monday, Monday to Sunday Oyoyo (oyo! oyo! oyo!) Usinifanye me ni poyoyo Lengo lako girl Niachane naye nenda zako hukoo I want you to know, usije ukaniliza girl Hisia zako zitakukandamiza no Girl you should know mi sio type yako Hisia zako peleka kwako Bounce alone, bounce alone Only me can turn him on Bounce alone, bounce alone Tukiwaga wawili (na ye) Nampa burudani (yeye) Hakuna kuniacha me (kamwe) Yeyeyeyeye Tukiwaga wawili (na ye) Nampa burudani (yeye) Hawezi kuniacha me (kamwe) Yeyeyeyeye Vee Money baby, tell me my boo Maumivu sahau, kwangu katu Njoo nikukabidhi moyo wangu Nasijaweka sinde kwa babu Maua Sama umenidaka wavu Sifurukuti sifui dafu Ongeza vitamini nitoke shavu Ili wajue the way I love, the way I Mami iyooo I want you to know usije ukaniliza girl Hisia zako zitakukandamiza no Girl you should know me sio type yako Ushauri wako peleka kwako Bounce alone, bounce alone Only me can turn him on Bounce alone, bounce alone (Don't call me ever again) Tukiwaga wawili (na ye) Nampa burudani (yeye) Hakuna kuniacha me (kamwe) Yeyeyeyeye Tukiwaga wawili (na ye) Nampa burudani (yeye) Hawezi kuniacha me (kamwe) Yeyeyeyeye Tell me boy, unitumie tumie kwako niwe kifaa Tell them don't bother, hao vilaza Wenye kusudi nikuache we Darl let em know When you do me like this Napatwa na goosebumps shhhit Oh yeah, tamu lako penzi Kwako anapita njia, hey When you do me like this Napatwa na goosebumps shhhit Oh yeah, tamu lake penzi Kwako anapita njia yeyeyeah Bounce alone, bounce alone Only me can turn him on Bounce alone, bounce alone Tukiwaga wawili (na ye) Nampa burudani (yeye) Hakuna kuniacha me (kamwe) Yeyeyeyeye Tukiwaga wawili (na ye) Nampa burudani (yeye) Hawezi kuniacha me (kamwe) Yeyeyeyeye oooh M-A-U-A Sama Mmh Vee Money on the track