I saw u liked her picture Wat about me unamfata mpaka tweeter Now u want us to compete I saw u liked her picture Wat about me yeyeyee Kama hakuna cha kuficha Why don't u get out of her insta Unanikera kera kera kera kera yeh Unavopenya penya kwa page zake Unanikera kera kera kera yeh e e eh Unavopenya kwa page zake Macho yanatamani Unfollow Moyo unataman Unfollow Anajua me napata nn ndo mana anapost picha zake za ndani Macho yanatamani Unfollow Moyo unataman Unfollow Anajua me napata nn ndo mana anapost picha zake za ndani First of all I'm the baddest kwenye page Yake don't know what the hell are u looking for?? Au labda shape yake lips macho yake pengine umedata na dimpoz Hata level zangu huwezi kompea na level za kwake ni simple Beb plzzz want u hear me .if u know that u mean me Unanikera kera kera kera kera yeh Unavopenya penya kwa page zake Unanikera kera kera kera yeh e e eh Unavopenya kwa page yake Macho yanatamani Unfollow Moyo unataman Unfollow Anajua me napata nn ndo mana anapost picha zake za ndani Macho yanatamani Unfollow Moyo unataman Unfollow Anajua me napata nn ndo mana anapost picha zake za ndani Kama me nakufaaa naomba usimfate Taratibu watakukaaa imani ikutokeee Kama me nakufaa naomba usimfate Taratibu watakuakaa imani ikutokeee Macho yanatamani Unfollow Moyo unataman Unfollow Anajua me napata nn ndo mana anapost picha zake za ndani Macho yanatamani Unfollow Moyo unataman Unfollow Anajua me napata nn ndo mana anapost picha zake za ndani Unfollow Unfollow Unfollow Unfollow