Kishore Kumar Hits

Khaligraph Jones - Punguza Kesheshe şarkı sözleri

Sanatçı: Khaligraph Jones

albüm: Punguza Kesheshe


Big shoutout to Vince on the Beat, by the way
Niko kwa streets na mamita
Tuko lit na pia ni ka' tumekam na rende
Niko na biz nasafisha
Hizo beef munachachisha ni kasheshe
So punguza kasheshe (Punguza kasheshe)
Punguza kasheshe (Punguza kasheshe)
Punguza kasheshe (Say punguza kasheshe)
Punguza kasheshe (Kasheshe)
Kasheshe, punguza kasheshe
Heh heh
Punguza kasheshe
Beat inagonga proper, inabaki naunguza madebe
Past curfew, bado niko nje ninasumbuka na njeve
Tenje nilisahau kеja, najua wife ashachunguza ma-message
Rat racе teke teke, niko on toes niki-navigate (Jones)
Mi ni gangster
We bado unangoja hawa ma-bitch waku-validate (Hahahaha)
ISIS leader venye hizi ma-beat nazi-terminate (Brr!)
Convict, utajuaje nilikuwa Inda miezi mbili
Hizi stori huwezi ka-relate (Never)
No wonder si hatufanani hata kidogo (Nope)
Opwondo, bonga shonde uone vile mi nitakuchapa kisogo (Come on!)
Uliza Kayole gathee, mi ni rasta, ni popo
Mi ni hustler Kanairo, Mwihoko
Nipate WhatsApp niki-chat na Kabogo (Iyee!)
Miaka ni thirty na buda yako ananiita fathe (Fathe)
Rada ni chafu, hapo ukikam mbaya nakutapee (Tapee)
Tukienda courtiko gathee, mi nitakuitia cartel (Woo!)
Angalia mbulu uniambie ni akina nani wameshikilia makesi
Niko kwa streets na mamita
Tuko lit na pia ni ka tumekam na rende (Mumekam na rende!)
Niko na biz nasafisha (Iyee!)
Hizo beef mnachachisha ni kasheshe (Ati ni kasheshe?)
So punguza kasheshe (Punguza kasheshe)
Punguza kasheshe (Punguza kasheshe)
Punguza kasheshe (Say punguza kasheshe)
Punguza kasheshe (Kasheshe)
Kasheshe, punguza kasheshe (Punguza kasheshe)
Punguza kasheshe (Punguza kasheshe)
Punguza kasheshe (Say punguza kasheshe)
Punguza kasheshe (Kasheshe)
Kasheshe, punguza kasheshe
Heh heh
No smile for the cam, and I'm never in the right mood (Woo! Woo! Woo!)
Ask about him in the hood
That nigga Khali is a tycoon (Jones, Jones, Jones!)
Cross me ka haujipendi, guaranteed you go die soon (Haha)
Top rapper though nitakuwa nadanganya
Nikisema pesa zangu ni za i-Tunes
Juu niko Spotify na Boomplay
Na bado Deezer pia selling music, Tuesday ni Tuesday
So why you debating 'bout who is paid?
Mi nalipwa pande zote, nyi bado mnang'ang'ania 2K
Roc-A-Fella, I'm the new Jay
Blu Ink is the label, usipime, tuko juu weh!
Nawakunywa kama Kool-Aid
Punguza kasheshe ama ugeuzwe kichungi 'fore it's too late (Aagrr!)
Heh heh, sura ngumu utadhani karumanzira ('nzira, 'nzira, 'nzira!)
Ka hutaki majukumu gathee, basi vaa mpira (Kwenda!)
Vile mi hutema moto, utadhani Godzilla (Shwaa, shwaa, shwaa!)
And we all know that there is only one killer (Woo!)
Comprende? We don't pretend
We just pull up your crib when the choppers are loaded (Brr!)
Comprende? We don't forgive, we just shoot out your brains
And I swear we gon' love it (Pow, pow, pow!)
Ain't no verses for free, nigga
Work on your budget (Work, work, work!)
One-nine-sixty on top, and there's nothing above it (He-he)
Going psycho, gotta get these demons to stop (Stop!)
They messing my head up, I'm crazy, believe it or not (Woo!)
These snitches get stitches
It's better you flee the cops (Run, nigga)
Despite my condition, man, I'm still the cream of the crop
Niko kwa streets na mamita (ha-ha)
Tuko lit na pia ni ka tumekam na rende (Ati mumekam na rende?)
Niko na biz nasafisha (Woo!)
Hizo beef mnachachisha ni kasheshe (Ati ni kasheshe?)
So punguza kasheshe (Punguza kasheshe)
Punguza kasheshe (Punguza kasheshe)
Punguza kasheshe (Say punguza kasheshe)
Punguza kasheshe (Kasheshe)
Kasheshe (Ha!)
Niko kwa streets na mamita (Woo!)
Tuko lit na pia ni ka tumekam na rende (Mumekam na rende!)
Niko na biz nasafisha (Ayy!)
Hizo beef mnachachisha ni kasheshe (Hizo zote ni kasheshe)
So punguza kasheshe (Punguza kasheshe)
Punguza kasheshe (Woo! Woo! Woo! Woo!)
Punguza kasheshe (Say punguza kasheshe)
Punguza kasheshe (Kasheshe)
Kasheshe, punguza kasheshe
Haha
You know what is Khaligraph Jones
Big shout to anybody watsup!

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Ex

2023 · single

Benzer Sanatçılar