Kishore Kumar Hits

Khaligraph Jones - Rada Safi şarkı sözleri

Sanatçı: Khaligraph Jones

albüm: Invisible Currency


Niaje
Rada
Rada inakaa ni safi ama?
Rada safi,rada safi
Omollo dong an generous hapana ngati
Doh nimekafunga siezi mind kupanda basi
Naishi vile nataka kitu siwezi ni kubamba umati
Don Pablo proof kandarasi
I make a living na kalamu karatasi
An entertainer tho sipendi sarakasi
Kiki na izi kasheshe za media na paparazzi
Rada safi rada safi
Utajuaje nina moti kama hujarada car keys
Na ka ni nduthi brand ka wasaki
And do I have to dumb it down
Ju inakaa wapati
Kawataki mi nasema sawa basi
Bora leta usingore tukipiga harakati
Coz am an artist na narequire ukarabati
Kuroga vile naroga zimeriet rada safi
Rada safi Rada Safi
Najipuliza marashi ndo nifike party ju rada ni safi
Hakuna wasiwasi maswara sitaki ju rada ni safi
Rada safi rada safi
For success kijana anakuanga thirsty
I do my best ju mi sitaki blunder trust me
Kuishiwa when am still at the top kama tuskys
Man am bad still humble ju anatouch streets
Mi lawama kijana hapana ass kiss
Rada safi nikishajengea madha kasri
Another plus G I guess it makes a brother happy
Warazi wanataka niende mi huwonder wapi
Coz studio Sunday tu Sunday napanga traki
Am so attached to the hustle jaribu ulete zogo
Nikufanyie venye redsan alifanyia sapit
Hapa nafasi ju leo sijakam na kasi
Mdogomdogo ndo pace omera you don't want to rus me
Position one iyo story ya namba last zi
Track deep ivo ndo venye mi humurder verse sheesh!
Hush please unajifanya huoni pamba safi
Black jeans chini na juu nimengara shati
Nakaa Versace but nilibuy ngara last week
I know I said am rich lakini hasara staki
Rada safi Rada Safi
Najipuliza marashi ndo nifike party ju rada ni safi
Hakuna wasiwasi maswara sitaki ju rada ni safi
Ni mara ngapi ntawasho eti rada safi
Na rapper ka mi ndo mpate you rather lucky
Papa Jones baba yenyu mi ndo baba rasmi
Lastly thanks G buda rada safi
Na niko chini ya waba nagather mkwanja nasaka cash mi
Usinibother naa ka una za ufala ju pesa Otas bi
Na biashara ni biashara so ata ukicatch dis
Sinanga umama za kukujibishana na rap beef
Rada chafu si chafu ni rada safi
Na ka rada haina Khali iyo rada haina ladha basi
I come in peace ka vipande za mananasi
And if man dem wana hate
Then definitely man a bad ting
Bonga choo na drink yako ntaifanya harpic
Last nigga kuzu alibaki hana heartbeat
Am a tough street nigga but only if you attack me
But holy Joe juu kila Sunday mi hufikanga church 6
Rada safi
Album, classic
Platinum, aki
Mada, graphic
Jah jah, got me
Daamn that's justice asanti kuniskiza
God bless it's a wrap peace
Rada safi Rada Safi
Najipuliza marashi ndo nifike party ju rada ni safi
Hakuna wasiwasi maswara sitaki ju rada ni safi

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Ex

2023 · single

Benzer Sanatçılar