Hakuna hakuna, Hakuna Mungu kama wewe Baba Hakuna hakuna, Hakuna Mungu kama wewe Baba Hakuna mwingine kimbilio langu Hakuna hakuna, Hakuna Mungu kama wewe Baba Hakuna mwingine Baba wa wajane Hakuna hakuna, Hakuna Mungu kama wewe Baba Mungu ni shefu (shefu)×14 Shefu (wa mataifa yote) ×14 Alitenda mambo makubwa Wanadamu hawakuelewa (tenda tenda tenda) Tenda eh Baba tenda Tenda eh Baba tenda (Mungu wa uzima) Tenda eh Baba tenda (Baba wa wajane) Tenda eh Baba tenda (Iyo yo yo yo oh) Tenda tendaa . Ni wa uwezo ni wa ushindi Ni muweza yote kweli ni muumba wetu Watoto tunasala (tumepata kwa neema) Masomo tunaweza (tumepata kwa neema) Diploma uko nayo (ulipata kwa neema) Kuimba unaimba (ulipata kwa neema) . Huyu Mungu wetu (anasema anajibu) Ni muweza yote Hallelujah ni Muumba wetu . Wa milele wa milele Mungu wa Baraka ni Yesu Wa milele wa milele Mungu wa Baraka ni Yesu ×4