Kishore Kumar Hits

JIVU - Wangari şarkı sözleri

Sanatçı: JIVU

albüm: Wangari


Wanga-ngari... Wa Wa Wangari
I saw you from the very first time
Unavyojilegeza ukiwa nami
Niwe, niwe, niwe... niwe, niwe, ni wewe
Ni wewe mpenzi wangu wa kweli
Ni kweli nakupenda sio chocha
Nahisi kama ndoto, ninaota
Chochote utakacho, sio hoja
Milele wewe ndio namba moja
Wanga... Wangari kairitu kega
Wanga... Wangari
God bless your mama
Mwathani amurathime
Wanga-ngari... Wa Wa Wangari
Sing for me baby, dance for me baby
Sing for me baby, dance for me baby
Na kuna wenye mali wanaponda,
Lakini kuna wengine
Mapenzi ya ukweli wanaomba
Hawayapati pengine
Na kuna wenye mali wanaponda
Lakini kuna wengine
Mapenzi ya ukweli wanaomba
Hawayapati pengine
Wanga... Wangari kairitu kega
Wanga... Wangari
God bless your mama
Mwathani amurathime
Wanga-ngari... Wa Wa Wangari
Sing for me baby
Dance for me baby
Cheza! Cheza! Cheza wakuone
Unaweza! Weza! Weza fanya lolote
Usiogope... Wanga-ngari... Wa Wa Wa
Wanga... Wangari kairitu kega
Wanga... Wangari
God bless your mama
Mwathani amurathime
Wanga-ngari... Wa Wa Wangari
Wangari... Wa Wa Wangari
Wangari... Wa Wa Wangari
Wangari... Wa Wa Wangari
Wangari... Wa Wa Wangari
Wangari... Wa Wa Wangari

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Maji

2022 · mini albüm

Benzer Sanatçılar