Kishore Kumar Hits

JIVU - Weza şarkı sözleri

Sanatçı: JIVU

albüm: Weza


Kuna vile umenibamba vimejja
Lakini kila siku nikipiga nakupata mteja
Boychild sina kitu right now
I got much baby if you want love
Joh ni vile unakuanga umeweza
Siamini
Naeza pendwa na demu kaa ye
Nakuanga nimededi naye
Kila kitu yake mi nadai
Ndo maana nakwama naye
Naeza pendwa na demu kaa ye
Nakuanga nimededi naye
Kila kitu yake mi nadai
Ndo maana nakwama naye
Vile umejibeba
Unanitesanga unanitesanga
Tabia imeweza
Unaniwezanga unaniwezanga
Vile umejibeba
Unanitesanga unanitesanga
Tabia imeweza
Unaniwezanga unaniwezanga
Round and round and round you take me
Nashinda tu iz how ni how ni how cheki
Napuff napass nikimedi
Whether you're in or out to me is the same thing
Siamini
Naeza pendwa na demu kaa ye
Nakuanga nimededi naye
Kila kitu yake mi nadai
Ndo maana nakwama naye
Naeza pendwa na demu kaa ye
Nakuanga nimededi naye
Kila kitu yake mi nadai
Ndo maana nakwama naye
Vile umejibeba
Unanitesanga unanitesanga
Tabia imeweza
Unaniwezanga unaniwezanga
Vile umejibeba
Unanitesanga unanitesanga
Tabia imeweza
Unaniwezanga unaniwezanga
Basi kama mapenzi ni dre we ni tap tap walai
Unanidrive crazy ina drop top walai
Started thinking bout you and I can't stop walai
My love for you is connected to your hotspot walai
Ouh
The best lie is the truth
Umeniroga umenifanya naroga kwa booth
Triple distilled si unanikunywa vismooth
I wanna love you like I can I wanna love you like you should
Yeah
So kanaa kenee neenda kunenge kindu cha woo
Protect you and give it to you so organic and raw
Usiwai nichosha roho,coz me I keep it pure
I'm on my mark so ready so come over let's go
Naeza pendwa na demu kaa ye
Nakuanga nimededi naye
Kila kitu yake mi nadai
Ndo maana nakwama naye
Vile umejibeba
Unanitesanga unanitesanga
Tabia imeweza
Unaniwezanga unaniwezanga
Vile umejibeba
Unanitesanga unanitesanga
Tabia imeweza
Unaniwezanga unaniwezanga

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Maji

2022 · mini albüm

Benzer Sanatçılar