Kishore Kumar Hits

Veeresh and the Humaniversity Sound - Osho on Friendliness şarkı sözleri

Sanatçı: Veeresh and the Humaniversity Sound

albüm: My Beloved Friend


R browser.
Machizi sikusoma nao, tulikutana tu mtaani
Udogoni sikucheza nao lakini ndo machizi wa ukubwani
Machizi sikusoma nao, tulikutana tu mtaani
Udogoni sikucheza nao lakini ndo machizi wa ukubwani
Haijalishi ulikuwa na wangapi, bali wangapi uko nao
Washkaji ambao... kosa lako lao wakati hauna mafao
Wanaokufikiria wewe muda ambao, wenzao walionao
Wanafikiria wengine nd'o wanao, now
Kupata washkaji ukiwa na pesa ni rahisi
Kuwapata na hauna kitu ujue umefanikiwa kichizi
Mie sikufichi sihitaji urafiki na usupastaa
Uki-hit ndo unang'aa, upishwe u-seat kwenye bar, upewe beat na JR
Kitu ambacho haikuwa rahisi kipindi Fid ni underground
Siku hizi mabinti wanaoni-miss ni walioni-diss, mie sio mdau
Wanakubali mie ni mkali wanataka kuijua Mwanza
Ninayoitangaza nikiwa safari kama habari za Kwanza
UNIT na Prof Ludi walionifunza kukaza
Kwetu mbali sijui lini nitarudi? Lokua Kanza
Sihitaji marafiki, labda baadae wakitokea
Aje mmoja wa kuongea nae, na mwingine wa kumuongelea
Sihitaji marafiki, no no no
Sihitaji marafiki, marafiki siwahitaji
Na usupastaa huwa ni feki, utakung'arisha ukiwa na market
Utakupatia senti, utapita juu ya red carpet
Utageuka Young & Restless, utakupa wanawake
Utakupa ma-fake brethrenz. kisha utaenda zake
Kwahiyo power, it's not permanent. huwa ipo kwa muda tu
Respect your own conglomorete, fikiri kikubwa tu
Masaa hayarudi nyuma kama muda wa kufuturu
Walioukataa utumwa wanastuka hawana uhuru
Wanazusha najis'kia, so I'm my own best friend
Sikia Fid Q anamsifia Fareed ni bandidu, sio "Yes Man"
Naweza nikakata ringi kiasi cha ku-to-pay attention
Lakini sio tajiri wa ku-afford kuua true friendship
Tuweke siasa kando sababu kichwa kinanigonga
Na hizi falsafa double-double ajabu sio kinywa cha mjomba
Sihitaji marafiki, labda baadae wakitokea
Aje mmoja wa kuongea nae, na mwingine wa kumuongelea
Rafiki wa kweli yukoje? Ni mkimya au anayechonga?
Yule aliyekupa jina, au pengine anayekuponda?
Anayezuia usidondoke au anayesubiria kukuokota?
Au ni yule ambaye ukimuudhi anakutusi kabla hajaondoka?
Hakuna adui mbaya ka' rafiki yako mwenyewe ambaye hajui
Ka' yupo nawe au yupo kinyume na wewe
Bora adui, kama hachachawi utaenda muomba akuelewe
Ka' buibui, naweka tandu mtaenda kando mzingue?
Kwani machizi wenyewe wako wapi ambao wanastahiki niwape vyeo
Inabidi tu uwaache waku-watch kwenye kideo
Unakula nao happy leo, kesho wanamtaka mkeo
Urafiki sitaki, hauletagi maendeleo
Nilitamani kuwa mjamaa niwe genge kama Nature
Wachache niliowafanya wakang'aa wanayaweka maisha yangu in danger
Sihitaji marafiki, labda baadae wakitokea
Aje mmoja wa kuongea nae, na mwingine wa kumuongelea

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar