Ooh mapenzi,ooh mapenzi
Ooh mapenzi yanaliza sana
Nilidhani kupenda raha sikujua Karaha
Kaniacha mataani kutwa namfikiria
Lilie donda la moyoni vigumu kupoona yeye haoni mwenzie nakonda
Angeniambia bayana njue nn chanzo
Haya hana kaniacha na mawazo hakujali... zangu hisia...
Basi... basi...
Mapenzi... basi...
Basi... basi...
Mapenzi... basi...
Basi... basi...
Mapenzi... Mapenzi...
Yanauma sana...
Mapenzi... basi
Basi... basi...
Mapenzi... b asi...
Basi... basi...
Mapenzi... basi...
Basi... basi
Mapenzi... Mpenzi...
Yanauma sana
Mapenzi... basi...
Ama wangu... msoto umeniwaka... mashakani
Sili... wala Silali...
Nakesha nikiwaza
Ama wangu... msoto uniweka... mashakani
Sili... wala Silali...
Nakesha nikiwaza
Angeniambia... bayana njue...
Nini chanzo hata haya hana kanipa mengi mateso
Hakujali... zangu hisia...
Basi... basi...
Mapenzi... basi...
Basi... basi...
Mapenzi... basi...
Basi... basi...
Mapenzi mapenzi
Yanauma sanaa
Mapenzi... basi...
Basi... basi...
Mapenzi... basi...
Basi... basi
Mapenzi... basi...
Mapenzi mapenzi
Yanauma sana
Mapenzi... basi
Nikasema Mapenzi basi
Basi
Yanaumiza moyo basi
Basi
Mapenzi hatari basi
Kaniumiza moyo...
Exell Records
Поcмотреть все песни артиста
Sanatçının diğer albümleri