Ooh baby Sitaki uwe mbali nami Ooh baby Usiniache mpweke maishani Penzi lako Lanipa faraja moyoni Nipo kwako Kwa mwengine mi sioni Penzi lako Nitaweka salama moyoni Nitatulia kwako Kwa mwengine mi siendi We ni wangu Wangu We ni wangu Wangu Maneno ya wachochezi Siyaweke moyoni Si unajua,nia yao Kututenganisha Tuachane Wasikwambie Mi sifai Wasikudanganye We ni wangu Wangu We ni wangu Wangu