Kila kukicha maneno Yasiyo na mwisho Masimango masimango Yasiyo na mwisho Kila kukicha misemo Isiyo na mwisho Majibizano jibizano Isiyo na mwisho Lipi langu kosa mama Bado sijajua Mbona unanitesa sana Bila sababu Au kisa,sina pesa,sina nyumba Wala magari Ndo maana,Unanitesa,unaniliza Kila wakati Sielewi... Kwako sielewi Sielewi... Kwako sielewi Sielewi... Kwako sielewi Sielewi... Kwako SIELEWI Umeuchoma mwiba moyoni Mapenzi kikaagoni Niko,kwenye kina kirefu Yamenifika ya shingoni Giza totoro mi sioni Nifikichapo zangu mboni Ziko wapi ahadi Zako ulizonipa nikaani Aaah aah Nalia... Moyoni naumia Mapenzi yamenichachia Naaajutia Matusi ulonishushia... Eti mimi nina kibamia...