Kishore Kumar Hits

World Anthems Orchestra - Kenya - Ee Mungu Nguvu Yetu - Kenyan National Anthem ( O God, Of All Creation ) şarkı sözleri

Sanatçı: World Anthems Orchestra

albüm: National Anthems of the World


Eeh Mungu Nguvu Yetu,
Ilete baraka kwetu,
Haki iwe ngao na mlinzi,
Natukae kwa Undugu
Amani na Uhuru,
Raha tupate na ustawi.
Amkeni Ndugu zetu,
Tufanye sote bidii,
Nasi tujitoe kwa nguvu,
Nchi yetu ya Kenya,
Tunayoipenda,
Tuwe tayari kuilinda.
Natujenge taifa letu,
Ee ndio wajibu wetu,
Kenya istahili heshima,
Tuungane Mikono,
Pamoja Kazini,
Kila siku tuwe na shukrani.

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar