Kishore Kumar Hits

John Lisu - Nitakushukuru Bwana şarkı sözleri

Sanatçı: John Lisu

albüm: Uko Hapa


Nitakushukuru bwana
Kwa moyo wangu wore
Umenitendea
Nitakusifu wewe kwa matendo makuu
Hakuna mwinine kama wewe.
Nikurudishie nini bwana kwa ukarimu wako ulionitendea
Nitakipokea kikombe cha wokovu wako nakuzitangaza fadhili zako maana wewe wasitahili kusifiwa Hakuna mwingine kama wewe
Bwana...
Pokes sifa bwana Wa mabwana
Pokes sifa wewe wasitahili.
Kwa nguvu zako zote
Kwa akili zangu zote...
Na kwa nguvu zangu zote .
Nitakusifu daima...
Na kwa Mali zangu zote...
Na akili zangu zote...
Nitkusifu milele
Maana wewe wasitahili sifa.
Nitakutakusifu daima.
Nitakusifu milele.
Nitakusifu daima
Eeh wastahili sifa na heshima Bwana
Hakuna kama wewe aah halleluyah
Sifa na heshima
Pokes bwana wewe wasitahili utukufu na nguvu
Mamlaka na sifa
Utukufu naheshima
Uweza mamlaka
Utukufu na sifa
Utukufu
Niwa Mungu pekee

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar