Kishore Kumar Hits

John Lisu - Sifa Zangu Na Zivume şarkı sözleri

Sanatçı: John Lisu

albüm: Yehovah Yu Hai


Sifa zangu na zivume
Mbele zako kama uvumavyo
Mwanakondoo ulichinjwa kwa ajili yangu
Hakuna was kulinganisha nawe
Simba was kabila LA Yuda
Ulimwaga damu yako kwa ajili yangu
Uwepo wako una amani
Napenda kaa uweponi mwako
Niutazame uzuri wako milele
Damu yako imenitakasa Mimi ni mwana wa pendo lako nalisifu jina lako milele nakwinulia moyo wangu kama dhabihu mbele zako nakwabudu Mungu wangu mileleX3

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar