Kishore Kumar Hits

John Lisu - Hakuna Kama Wewe şarkı sözleri

Sanatçı: John Lisu

albüm: Yehovah Yu Hai


Hakuna kama, wewe hakuna kamwe.
Peke yako umetukuka nani kama wewe.
Mataifa yatetemeka nani kama wewe.
Umejivika heshima na nguvu nani kama wewe. ×3 mataifa yatetemeka kama wewe.
Haaaakuna mwingine kama wewe, nakwabudu mungu wetu wastahili.
Haaakuna mwingine kama wewe. ×2 hakuna kama wewe hakuna aaah kamwe peke yako umetukuka nani kama wewe.

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar