Kishore Kumar Hits

John Lisu - Nisimamishe şarkı sözleri

Sanatçı: John Lisu

albüm: Yehovah Yu Hai


Yesu umejivika haki
Na heshima aah
Pumzi ya uhai wako ni uponyaji
Kwa Mataifa yote
Yesu umejivika haki
Na heshima ash
Pumzi ya uhai wako ni uponyaji
Kwa mataifa yotee
Nisimamishe katika mlima wa utukufu wako
Eeh Nikuone wewe
Nikuone ukipanda nakushuka
Yesu nisimamishe
Niisimamishe Katika Mlima wa Utukufu wako
Nikuone wewe
Nikuone ukipanda na kushuka
Siku zote za maisha yangu
Nikuone wewe
Siku zote za maisha yangu
Acha harufu yako iendee patatifu pako
Acha harufu yako iendee kwa mataifa yotee

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar