Kishore Kumar Hits

John Lisu - Nijaze şarkı sözleri

Sanatçı: John Lisu

albüm: Wastahili


Kama nchi kavu inavyotamani maji
Bwana
Na moyo wangu wakutamani wakutamani
Bwana
Ooh ooh ooh ooh ooh
Bwana
(Kama umande)
Kama umande uangukao asubuhi
(Uninyeshee)
Uninyeshee
Mvua yako Yesu
Nakuhitaji
Nakuhitaji
Bwana
Kama umande uangukao asubuhi
Uninyeshee
Mvua yako Yesu
Nakuhitaji
Nakuhitaji
Bwana
(Nina kiu nawe)
Nina na kiu nawe
Sina mwingine wa kunitosheleza
(Nina na njaa nawe)
(Nina njaa nawe)
Sina mwingine
Sina mwingine wa kunishibisha
Nina kiu nawe
Sina mwingine
Wakunitosheleza
Nina njaa nawe
Sina mwingine
Wakunishibisha
Katika uwepo wako
Kuna uzima
Katika uwepo wako
Kuna utoshelevu
Yesu
(Nakuhitaji Bwana wangu)
Nakuhitaji
(Yesu)
Yesu
(Wewe ni kila kitu kwangu)
Wewe ni kila kitu kwangu
(Yesu)
Yesu
(Nakuhitaji Bwana wangu)
Nakuhitaji
Yesu
Wewe ni kila kitu kwangu
Nijaze
Nijaze
(Nahitaji mguso wako)
Nijaze
(Nahitaji ujazo wako wa Roho Mtakatifu)
Nguvu zako
(Utakaonipeleka hatua nyingine)
Nijaze
(Hatua nyingine ya kukupenda
Hatua nyingine ya kukujua wewe MUNGU wa kweli)
Nijaze
(Nijaze BWANA
Haya ni maombi yangu)
Nijaze
(Nakuhitaji BWANA wangu)
Roho wako
Haya ni maombi yangu Bwana nijazwe na nguvu zako
Nijazwe na uwepo wako
Nakuhitaji Yesu
Nakuhitaji Mfalme wa wafalme
Bwana wa mabwana
MUNGU mwenye nguvu
BABA wa milele
Hakuna mwingine alie kama wewe
Oh haleluya
Eee nijaze
Nijaze
Nijaze
Nguvu zako
Nijaze
Nijaze
Nijaze
Roho wako

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar