Kishore Kumar Hits

John Lisu - Uko Juu şarkı sözleri

Sanatçı: John Lisu

albüm: Wastahili


Wewe ni Mungu, umetukuka
Ulilipa gharama, ya uhuru wangu pale msalabani
Wewe ni Mungu, umetukuka
Ulilipa gharama, ya uhuru wangu pale msalabani
(Viganjani mwako, yamo mataifa)
Umeinuliwa
(Umeinuliwa juu ya mashujaa) na wafalme (na wafalme)
Umeinuliwa
(Umeinuliwa juu ya mashujaa) na wafalme (na wafalme)
Wewe upo juu
(Wewe uko juu zaidi ya vyote ulivyoviumba)
Uko juu (uko juu zaidi ya Mbingu)
(Uko juu zaidi ya ndoto, Bwana)
Umeinuliwa
(Umeinuliwa juu ya mashujaa) na wafalme (na wafalme)
Umeinuliwa
(Umeinuliwa juu ya mashujaa) na wafalme (na wafalme)
Wewe uko juu
(Wewe uko juu zaidi ya vyote ulivyoviumba)
Uko juu
(Uko juu zaidi ya Mbingu)
(Uko juu zaidi ya ndoto, Bwana)
Twakuabudu (twakuabudu)
Twakupenda (twakupenda)
Wastahili (wastahili)
Wewe peke yako Bwana wa mabwana
Bwana wa mabwana (Bwana)
Kupokea (kupokea) utajiri (utajiri na nguvu)
Mtakatifu (Mtakatifu)
Ni wewe Bwana (ni wewe Bwana)
Ooh, ooh ooh
Twakuabudu (twakuabudu)
Twakupenda (twakupenda)
Wastahili (wastahili)
Wewe peke yako Mungu mwenye nguvu, Bwana wa mabwana
Bwana wa milele (Bwana)
Kupokea (kupokea) utajiri na nguvu (utajiri na nguvu)
Eeeh oh, Mtakatifu (Mtakatifu)
Ni wewe Bwana (ni wewe Bwana)
Eh eeh aah
Halelluya, tunalibariki jina lako Jehovah
Wewe uko juu ya ndoto, uko juu ya vyote ulivyoviumba
Tunakubariki, tunaliadhimisha Jina lako
Wewe ni Bwana juu ya mabwana na Mungu juu ya miungu
Unastahili sifa za mioyo yetu, Halelluya
Tunakubariki Jehovah eeh

Halelluya (Halelluya)
Halelluya (Halelluya)
Wastahili (Wastahili)
Wewe peke yako Bwana wa mabwana
Kupokea (Bwana) uh
Kupokea (kupokea) utajiri na nguvu (utajiri na nguvu)
Hakuna mwingine astahiliye kupokea
Utajiri na nguvu ni vyako (Mtakatifu), wastahili wewe peke yako
Ni wewe Bwana (ni wewe) aah (Bwana)
Eeh, Halelluya (Halelluya)
Halelluya (Halelluya)
Wastahili (Wastahili) Wastahili wewe Bwana
Wewe peke yako (Bwana)
Kupokea, pokea (kupokea utajiri na nguvu)
Mtakatifu (Mtakatifu)
Ni wewe (ni wewe)
Ni wewe (Bwana)
Ooh, Umeinuliwa (umeinuliwa juu ya mashujaa na wafalme)
Umeinuliwa (umeinuliwa juu ya mashujaa na wafalme)
Eeeh, Halelluya

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar