Kishore Kumar Hits

John Lisu - Twakusifu şarkı sözleri

Sanatçı: John Lisu

albüm: Twakusifu


Wakusifiwa wakuabudiwa ni wewe tu
Mungu wa miungu(repeat)
Ni wewe tu Bwana Mungu wa miungu, Mungu wa miungu
Hakuna kama wewe Bwana Mungu wa miungu, Mungu wa miungu(repeat)
Wastahili heshima na sifa Mungu wa miungu
Haleluya
(Repeat)
-Astahiliye heshima utukufu na nguvu ni wewe tu Mungu wa miungu
-Eeenh mamlaka ni yako heshima ni zako ni wewe tu Mungu wa miungu
(Repeat)
-Wastahili heshima zote Mungu wa miungu
Twakusifu twakutukuza twakubariki ewe bwana (repeat)
Eeeh umetukuka
Eeenh unastahili
Eenh tunakupenda
Eenh twakuinua
Eeenh twakubariki

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar