Kishore Kumar Hits

Karura Voices - Njoo şarkı sözleri

Sanatçı: Karura Voices

albüm: Momentum


Wee pekee, kiu ya moyo wangu
Natamani kushiriki nawe
Unikumbushe agano lako
Uweponi nisiondoke
Kaa na mimi siku zote
Wee pekee, haja ya moyo wangu
Natamani kutembea nawe
Unikumbushe agano lako
Uweponi nisiondoke
Kaa na mimi siku zote
Njoo utujaze
Na roho wako
Twakungoja (aah)
Njoo, mioyo yetu
Yakutamani, Bwana (×2)
Wee pekee, kiu ya moyo wangu
Natamani kushiriki nawe
Nikumbushe agano lako
Uweponi nisiondoke
Kaa na mimi siku zote (×2)
Njoo utujaze
Na roho wako
Twakungoja (aah)
Njoo, mioyo yetu
Yakutamani, Bwana (×2)
Nakutamani, (kiu ya moyo wangu)
Nakuhitaji, (baba)
Nakutamani, (mwanzilishi wa imagine yangu)
Kaa nami (×2)
Kaa nami (×3)

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar