Kishore Kumar Hits

Pitson - Nisaidie şarkı sözleri

Sanatçı: Pitson

albüm: Maneno Ya Uzima


Nisaidie baba
Nisiwai lala njaa
Nisaidie baba
Nisipatwe na balaa,hasara
Iwe mbali namii
Hata kwa biashara
Ninachouza wanunue
Nisibaki na bidhaa
Aa aa aaaa
Nisiwai kosa pesa
Za kulipa nyumba ya kukodisha
Pia unipe yangu
Nisiishi sana ya kukodisha
Jinsi ya kupata doo wewe baba ndio utanionyesha
Utatoa vitu vinavyo nikondesha
Aa aa aaaa,nisaidie
Itakuaje baba jirani wanajua nimeokoka
Navile mimi nitateseka
Niko na deni hata kwa mama mboga
Wameshanidharau,watakudharau
Mungu wa ibrahimu
Waonyeshe kwamba hujanisahau
Uu uuuu uuuu
Kama Shadrak,meshek,abednego
Hata wanirushe kwenye moto
Nikikosa ya dunia
Bado Sitawainamia
Aa aa aaaa,sitawainamia
Aa aa aaaa,nisaidie
Shadrak,meshek,abednego
Hata wanirushe kwenye moto
Nikikosa ya dunia
Bado Sitawainamia
Kwa kila kitu nifanyacho baba,nisaidie
Kwa kazi ya mikono yangu baba,nisaidie
Kwa kila kitu nifanyacho baba,nisaidie
Uniweke mbali na balaa,unisaidie
Niweke mbali na hasara baba,nisaidie
Kwa kila kitu nifanyacho baba,nisaidie
Nisaidie

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar