Kishore Kumar Hits

Pitson - Uvumilivu şarkı sözleri

Sanatçı: Pitson

albüm: My Latter Will Be Greater


Nilisikia sauti yako ikiniita mwana wangu njoo njoo ninakuita, nikaachana na ya dunia nikaoka sikujua kuna uwezekano ooh uooh ohh.
Kuna uwezekano wa binadamu kuchoka, kuachana na njia zako na kupotoka.kuna uwezekano wa binadamu kuchoka ndio maana naomba nipeee ooh uooh
Nipe uvumilivu(nipe uvumilivu)
Nipe uvumilivu(nisipotoke kwa njia zako)
Nipe uvumilivu(nipe baba nipe baba)
Nipe uvumiliu
Nilidhani nikifikisha miaka ishirini na mbili nitakuwa na gari zuri, na nyumba nzuri na pengine bibi
Nilidhani nikifungua biashara Nairobi mjini nitapata wateja wengi, nitapata faida nyingi, nimebaki na alama ya mshangao akilini kila siku kwa maombi nauliza mbona mimi.
Kuna uwezekano wa binadamu kuchoka kuachana na njia zako na kupotoka
Kuna uwezekano wa bindamu kuchoka.kama unajua nasema ukweli inua mikono na useme.
Nipe uvumilivu...

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar