Kishore Kumar Hits

Pitson - Mi Humwambia şarkı sözleri

Sanatçı: Pitson

albüm: My Latter Will Be Greater


Nikiwaambia rafiki zangu shida zangu, wooo
Wengi wao hunihurumia
Nikiwaambia wazazi wangu shida zangu, wooo
Hata wakipenda hawana jawabu
Nikiwaambia rafiki zangu ninachopitia, mamamaa
Wengi wao hunihurumia
Nikiwaambia wazazi wangu ninachopitia kila siku
Hata wakipenda hawana jawabu
Nimeamua ni yesu
Nitakayemwambia
Wo oo ooo mi humwambia
Yesu mwana wa mungu
Mi humwambia
Yeye hawezi shindwa
Mi humwambia
Wo oo ooo mi humwambia
Mi humwambia,mi humwambia
Nikiwaambia wanahabari shida zangu, wooo
Kesho yake wanitangaza
Nikiwaambia wanasiasa shida zangu, wooo
Kwa uchaguzi wananitaja
Nikiwaambia wanahabari ninachopitia, mamamaa
Kesho yake wanitangaza
Nikiwaambia wanasiasa ninachopitia, kila siku
Kwa uchaguzi wananitaja
Nimeamua ni yesu
Nitakayemwambia
Wo oo ooo mi humwambia
Yesu mwana wa mungu
Mi humwambia
Yeye hawezi shindwa
Mi humwambia
Wo oo ooo mi humwambia
Mi humwambia,mi humwambia
Nimesongea karibu naye
Muweza yote
Anifunikie kwa mabawa yake
Ndiye peke yake anilindaye
Kwenye giza
Majani mabichi yeye hunilaza
Nimemuita Jehova nissi
Bendera ya ushindi wangu, woo
Yeye pekee halinganishwi
Nimemuita Jehova shalom
Bwana amani yangu
Ni yeye pekee hunitosheleza
Nimeamua ni yesu
Nitakayemwambia
Wo oo ooo mi humwambia
Yesu mwana wa mungu
Mi humwambia
Yeye hawezi shindwa
Mi humwambia
Wo oo ooo mi humwambia
Mi humwambia,mi humwambia
Wo oo ooo mi humwambia
Yesu mwana wa mungu
Mi humwambia
Yeye hawezi shindwa
Mi humwambia
Wo oo ooo mi humwambia
Mi humwambia,mi humwambia

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar