Kishore Kumar Hits

Aslay - Angekuona şarkı sözleri

Sanatçı: Aslay

albüm: Angekuona


Mhhhh iyee
Yani raha hata tukilala na njaa
Kila saa nakuona mpya mamy
Tena raha huku ninavimba kitaa
Unang'aa hata kwenye giza mamy
Basi tulia eh, kama maji kwenye mtungi baby
Nitakulea eh, ilimradi unipe heshima
Kama mbolea eh, nitatia ili unawiri sana
Nimekuzoea eh, ukiniacha itaniuma sana
Ohhh I wish angekuona maaamama
Angefurahi mama (maaaamaaama)
Eh mama yangu mama (maaamaama)
Angefurahi mama (maaamaaaama)

Ninavyomjua mama, angekupa vitenge
Tena bila hiyana na kikapu cha embe
Ana viwanja mama, angekupa ujenge
Na ukirudi kwangu, upate muogo wa jang'ombe
Umeondoka mama imekuja zawadi
Nabaki nalia nalia sina budi
Usije itupa mwana naogopa dhambi
Ila nakuombea ulale pema kwa God
Basi tulia eh, kama maji kwenye mtungi baby
Nitakulea eh, ilimradi unipe heshima
Kama mbolea eh, nitatia ili unawiri sana
Nimekuzoea eh, ukiniacha itaniuma sana
Ohhh I wish angekuona maaaama
Angefurahi mama (maaaaaaama)
Eh mama yangu mama (maama)
Angefurahi mama (maaaaaaama)
Mama mama mama (maaaaaaama)
I wish angekuwepo mama (maaaaaaama)
Uko wapi mama, mama mama mama
Nakukumbuka me mwanao
Eh mama maaaama

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar