Kishore Kumar Hits

Aslay - Rudi şarkı sözleri

Sanatçı: Aslay

albüm: Rudi


Mmmmh mmmmh mmmh
Mchana jua kali naona nyota zinawaka
Siamini kama leo i baby unaniacha
Vibaya ivyo unanikosea
Kumbuka tuna watoto wadogo
Nani atawalea
Moyo mashine unatia misari na koboa au
Labda kuna makosa makubwa niliokufanyia
Sindio wewe ulieniahidi
Utabaki na mimi milele
Mungu ndie shahidi
Au mwenyewe umefanya makusudi
Nia yako unataka uniue
Ili ufaidi

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar