Kishore Kumar Hits

Aslay - Kolo şarkı sözleri

Sanatçı: Aslay

albüm: Nyaku Nyaku


Kiuno kizito kama engine ya fuso
Hauna lolote kitandani yani upoupo
Unashindwa hata kufua vi chupi vyako
Unanuka jasho makwapani kama choo cha soko
Yani! nikikutazama wala sikumalizi
Unavyojua kupost picha nakueka pozi
Yani! kwenye mitandao umekaa kiwiziwizi
Kazi kuchamba wenzio usiyokosa kazi wewe
Tena sijutii kukuacha naona kama nimeacha nyoka
Chumba kilikuwa kama kichaka unajistiri
Kazi tu kutukanaga ma-star
Waki-post picha zao insta
Umenitia aibu ebu tafadhali
Hajui kupika nikipika mimi unapost wewe picha
Unaniaibisha mpaka chooni unajisnapisha
Nimekuvumilia kwakweli nimechoka
Chumba kama jalala
Hata machizi nashindwangwa kuwaleta
Mwanamke gani kolo, kolo kolololoo
Unanuka kama nguru nguru ngurungururu
We mwanamke kolo, kolo kolololoo
Unanuka kama nguru nguru ngurungururu

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar