Kishore Kumar Hits

Aslay - Hakuna şarkı sözleri

Sanatçı: Aslay

albüm: Hakuna


Uyeyeyeeeeh yeyeeeeh uyeeeh
Uyeeeh
Mmmh
Sina hali iii nakosa furaha mwenzako
Usiku silaligi na micgi joto lako
Tafadhar iii fikiria maamuz yako
Utakuja kuniua kwa mawazo mwana wa mwenzako
Naaona nadondoka
Maisha yanani yumbayumba
Sina pakushika basi rudi mama mwenye nyumba
Na kama ukipata barua uisome nakutuma
Ewe njiwa, ewe njiwa eeeh
Peleka salamu kwa mpenzi iiih iiih
Ewe njiwa, ewe njiwa eeh
Mwmbie nimemmiss kishenzi
Nasema hakuna kma wewe
Hakuna, hakuna, hakuna
Mmmh wa kwngu mimi mwnywe
Hakuna, hakuna, hakuna
Unavumilia shida na raha eeeh
Hakuna, hakuna hakuna
Basi nsamehe eeh
Hakuna, hakuna hakuna
We ndo wa pekee
Sidhani kama nitapata wakuja kunishika
Na nikapumzika kama we
Mwenzangu naona unanenepa mwenzako ninakonda
Mifupa inatoka nisameheee
Kwangu beki wamekaba
Wamegoma hata kucheza ndondo ooh
Au we ndo kocha wa mahaba
Nashangaa umenipiga kumbo ooh
Nazile shombo za paka sizitaki tena hata kidogo dogo
Naona nadondoka
Maisha yanayumba yumba
Sinapakushika basi rudi mama mwenywe nyumba hii
Na kama ukipata barua uisome nakutuma
Ewe njiwa, ewe njiwa eeeh
Peleka salamu kwa mpenzii iiiih
Ewe njiwa, ewe njiwa eeh
Mwambie nimemmiss kishenzi ii iiih
Nasema hakuna kama wewe
Hakuna, hakuna, hakuna
Mmmh wa kwangu mimi mwenyewe
Hakuna, hakuna, hakuna
Unavumilia shida na raha yeee
Hakuna, hakuna, hakuna
Basi nsamehee eeh we ndo wa pekee

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar