Kishore Kumar Hits

Aslay - Nabembeleza şarkı sözleri

Sanatçı: Aslay

albüm: Kipenda Roho


Hey
Asali wa moyo wangu
Kafunzwa bara, penzi kalipata pwani eeh
Sio malaya kama hivyo mnavyodhani eeh
Mahabuba, kanitosha kwa mizani
Sauti nyororo nyoka natoka pangoni
Wapande juu wakazibe (wenye madonge)
Kama hawatosheki wape kamba (nawakajinyonyenge)
Mi na we ni alfa na omega (wapende wasipende)
Nakwako nazidisha mapenzi (we unipende)
Hapa ninakosa mikwako mahututi nachechemea
Napatwa ukicha ukiwa mbali nami nateketea
Wewe ndo ukuta wangu naengemea
Ukija bomoka kipenzi changu sintajifia aah aah
Iyoyoyoyo iyo iyoyo
Iyoyo nambeleza kamwali eeh (iyooh iyoyo)
Kamwali kanadeka deka (iyo iyoyo)
Haka kamwali kazuri eeh (iyooh iyoyo)
Aah kazuri, aah kazuri
Niongeze mambo niwaumize wafe nachabo
Wakicheza taikondo siwachina tucheze judo
Mpenzi wangu mimi ongeza nyodo
Wakileta za mgambo si machinga tusake mwendo (ooh oh)
Hasara roho hasara roho
Kwako najitazama nakufanya kioo
Mindoshamba lako ongeza pembejeo
Oh oh oh ooh
Ooh baby njoo (ooh baby njoo)
Usiseme inatosha kalia ka-marioo
Nifunge kamba yako nisipatwe na mbio
Oh oh oh ooh eeh
Hapa ninakosa mikwako mahututi nachechemea
Napatwa ukicha ukiwa mbali nami nateketea
Wewe ndo ukuta wangu naengemea
Ukija bomoka kipenzi changu sintajifia aah aah
Iyoyoyoyo iyo iyoyo
Iyoyo nambeleza kamwali eeh (iyooh iyoyo)
Kamwali kanadeka deka (haha) (iyo iyoyo)
Haka kamwali kazuri eeh (iyooh iyoyo)

Record
Kapoo baby

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar