Kishore Kumar Hits

Aslay - Kipenda Roho şarkı sözleri

Sanatçı: Aslay

albüm: Kipenda Roho


Miaka milioni
Uuuh hii yeah
County music baby
Yeah
Kukupata wee niliona maajabu
Niliteseka nilipata taabu
Kuishi mbali nawe sio jawabu
Nilimwaga chozi lenye sababu
Sababu ni wewe my boo
Kuishi mbali na wewe sio jawabu
Niliambiwa sina hadhi
Hadhi ya kuwa na wewe
Enzo wa kukufanya ule, ulale
Kapoteza huna hamu tu!

Mimi na wewe eeh!
Nikama ndevu na kambale lazizi
Ona wachawi wanafumba macho
Hawaamini ikiwa wakionacho
Hawaamini wewe wa kwangu
Nami na kwako eeh
Ulinitesa sana wewe mtoto
Kuishi nawe naona kama ndoto
Naota aah, naota aah!
Aaah aah, wee kipanda roho
Aaah aah, wee kipanda roho
Wewe mama mjengo, wee kipanda roho
Mama mama mama kipenda roho
Wee kipanda roho
Nipe nikupe ya moto moto
Zima taa tusake watoto
Tupate watoto kurwa na doto
Kurwa na doto
Twende honeymoon maphoto photo
Tuwavimbie kina mpoto
Tufanye malumbuzi mapocho pocho ooh
Mapocho pocho oh!
Mimi nawe miaka milioni
Mpaka atakapotuchukua maanani
Tumwache shehe atie ubani
Tufunge pingu za maisha honey
No my wife
Usitest life eeh!
Usijefanya nife baby, iiih eeh!
Mimi nawe miaka milioni
Mpaka atakapotuchukua maanani
Tumwache shehe atie ubani
Tufunge pingu za maisha honey
Ulinitesa sana wewe mtoto
Kuishi nawe naona kama ndoto
Naota aah, naota aah
Aaah aah,wee kipanda roho
Aaah aah,wee kipanda roho
Wewe mama mjengo, wee kipanda roho
Mama mama mama kipenda roho
Wee kipanda roho
Mama mjengo kipenda roho, wee kipenda roho
Yeah yeah yeah yeah
Wee kipanda roho
Yeaah yeah (wee kipanda roho)
Yeaah yeah yeah (wee kipanda roho)
(Wanene)

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar