Kishore Kumar Hits

Hussein Machozi - Addicted şarkı sözleri

Sanatçı: Hussein Machozi

albüm: BEST HITS SONGS OF HM


I'm i'm addicted
Haya mapenzi, yangekuwa kwenye wali
Nisingeula
Ningeuacha ulale, ukiamka umechacha
Niumwage kabisa
Haya mapenzi, yangekuwa kwenye wali
Nisingeula
Ningeuacha ulale, ukiamka umechacha
Niumwage kabisa
Ila yapo kwako, kipenzi
Ndo maana nakonda (I'm addicted)
Ila yapo kwako, kipenzi
Ndo maana nakonda (I'm addicted)
I love you today, tomorrow and every day
I love you today, tomorrow and every day
I love you today, tomorrow and every day
I love you today ee ah
I'm addicted, to you
I'm addicted, to you
I'm addicted, to you
I'm addicted, to you
Umenionjesha asali, ona n'livyonogewa
Natamani mzinga
Wala siwaogopi, wale nyuki wakali
Jinsi nilivyokolea (jinsi nilivyokolea)
Umenionjesha asali, ona n'livyonogewa
Natamani mzinga
Wala siwaogopi, wale nyuki wakali
Jinsi nilivyokolea, baby
Nilikugongea sigar, umenipa weeda
Ona nimechizi, baby
I love you today, tomorrow and every day
I love you today, tomorrow and every day
I love you today, tomorrow and every day
I love you today ee ah
I'm addicted, to you
I'm addicted, to you
I'm addicted, to you
I'm addicted, to you
Usije hata kuniua, waniacha mwenyewe
Ndo maana ladha naipata mwenyewe
Usije hata kuniua, unaniumiza mwenyewe
Ndo maana nakula nashiba mwenyewe
I'm addicted
I'm addicted, to you
I'm addicted, to you
I'm addicted, to you
I'm addicted, to you
I'm addicted
I'm addicted
I'm addicted, to you
To you

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar