Baba naomba Kibali chako Kibali chako Kibali chako Yesu naomba ushirika wako Ushirika wako Ushirika wako Messiah naomba Kibali zako Kibali chako Ohh Kibali chako Kibali chako Kwa uimbaji wangu Kibali chako Kibali chako Kwa huduma yangu Kibali chako Nishikilile nisianguke baba Natamani nikae na Wewe Maishani ehh Ninapoimba uwepo wako Ushuke baba Nisiwe na kiburi ndani yangu Nitumie baba Kama dhabihu iliyo safi Mbele zako nitumie yesu ehh Naona mbingu zikifunguka Katika kuabudu Naona Sifa zikitanda dunia yote Najitoa Kama dhabihu Nitumie baba Wewe ni mwema sana Umetukuka Hakuna Kama Wewe Wewe ni mwema Sana Umetukuka Hakuna Kama Wewe Naona mbingu zikifunguka Katika kuabudu Naona Sifa zikitanda dunia yote