Kishore Kumar Hits

Daddy Owen - Utamu wa maisha şarkı sözleri

Sanatçı: Daddy Owen

albüm: Utamu wa maisha


Daddy Owen once again haha (ogopa deejays) Juliani
Utamu wa maisha msee
Hujui kesho kuna nini
Utamu wa maisha ni eti haujui kesho iko vipi (waambie)
Utamu wa maisha nia eti haujui kesho iko viipi (ati nini)
Utamu we
Utamu we
Utamu we
Utamu wa maisha ni eti haujui kesho iko vipi
Ombi langu kwako Baba
Yakwamba kesho iwe siku njema
Pia leo nimekipata bila pesa kweli utajuta
Madharau kila corner
Huku marafiki wanihepa
Bila kazi heshima chini
Majirani hawakudhamini
Madharau kila corner
Huku marafiki wanihepa
Bila kazi heshima chini
Majirani hawakudhamini
Utamu wa maisha ni eti haujui kesho iko vipi nani (ahaa)
Utamu wa maisha ni eti haujui kesho iko vipi (ati nini?)
Utamu we
Utamu we
Utamu we
Utamu wa maisha ni ati haujui kesho iko vipi
Baraka alileta na trailer, akaniambia ati ni trailer ya more to come
Utamu wa maisha kwa wengine ukali wa chupa
Saa yako ikiharibika haimaanishi kesho haitafika
Leo me ni mrasta kesho kichwa smooth ka logo ya ogopa deejays
Mambo ikiwa ngumu ispell the other way round itakuwa Mungu
Utamu wa maisha ni ati haujui kesho iko vipi nani (ahaa)
Utamu wa maisha ni ati hauji kesho iko vipi (ati nini?)
Utamu we
Utamu we
Utamu we
Utamu wa maisha ni ati haujui kesho iko vipi
Usinidharau leo na haujui kesho mimi ni nani (usinione hivi mseiya)
Usinidharau leo na haujui kesho mimi ni nani (niko nini)
Usinidharau
Usinidharau
Mimi ni nani
Usinidharau leo na haujui kesho mimi ni nani
Kesho pengine me ni president nina monument ndani ya parliament
Kesho pengine mimi ni dakitari nawatibu kwenye hospitali
Kesho pengine mimi ni footballer natinga bao hadi Europa
Kesho pengine me ni mwanariadha medali nazo kadha wa kadha
Kesho pengine me ni jaji mkuu naeza amua leo iwe sikukuu
Kesho pengine me ni pastor nikupe ushuhuda nikiwa hustler
Kesho una kametre kwa mawe unaota kuhusu miraa venye utashika metre aaah
Utamu wa maisha ni ati haujui kesho iko vipi nani (ahaa)
Utamu wa maisha ni ati haujui kesho iko vipi (ati nini?)
Utamu we
Utamu we
Utamu we ahaa
Utamu wa maisha ni ati haujui kesho iko vipi (hahaa)
(Utamu wa maisha)
Utamu wa mechi ni bao
(Utamu wa maisha)
Utamu wa njugu ni kukula moja moja
Utamu we
Utamu we
Utamu we
(Utamu wa maisha)
Lakini utamu wa maisha ni Yesu

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar