Kishore Kumar Hits

Daddy Owen - Kazi ya Msalaba şarkı sözleri

Sanatçı: Daddy Owen

albüm: Kazi ya Msalaba


Baraka nimepokea, kwako nimetulia mimi
Nisije tumbukia kwa mambo ya dunia
Kwako nijifiche milele
Fitina zanizingira, anasa kila kona
Kwa mikono yako, niweke mtakatifu
Tokea leo hadi milele
Niwie radhi mimi, kwa makosa yote
Anipenda, anijali, anipenda
(Repeat)
Kazi ya msalaba,
Nimeipokea, nimekubali
Nitakusifu, nitakuimbia milele
(Repeat)
Ilikuwa ni juzi tu, mwanzo kwangu katembea
Ukapumzisha kwangu kungojea
Lakini kwako zaidi nasogea
Nishiriki nawe kwa mazoea
Zile kwako ndo napokea
Nikuone, kwangu Baba ukinitendea
Wewe ndo wangu tu, mimi na wewe tu
Nikwone kwangu ukinitendea
(Refrain)
Kazi ya msalaba,
Nimeipokea, nimekubali
Nitakusifu, nitakuimbia milele
Siri ni Yesu, Siri Ni Baba
Siri ni ye x2 siri ni yesu (Repeat)

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar