Yule ni mgonjwa kitandani Umaututi Yele analia baba baba hawaoni Walikufa kitambo Hawaoni wapi pa kuishi Yesu jimure sasa Gusa moyo wake Akuone(gusa Bwana aaa) Mkono wako waweza AAA Wa ajabu ungali we unaweza Wanatezeka shida wanalia Vuta machozi mkono wako Wakuone eeee gusa bwana Mkono wako waweza Wa ajabu ungali we unaweza Wanatezeka shinda na wanalia Vuta machozi mkono wako wauone Yule ni mapepo rohoni Ya mfadhaisha Yule hana kazi maishani Anatezeka Yule ni mfungwa ngerezani kasingiziwa Yesu jimure sasa nguvu zako Si washike Yule ni mapepo rohoni Ya mfadhaisha Yule hana kazi maishani Anatezeka Yule ni mfungwa ngerezani kasingiziwa Yesu jimure sasa nguvu zako Si washike Wakuone eeee gusa bwana Mkono wako waweza Wa ajabu ungali we unaweza Wanatezeka shinda taabu wanalia Vuta machozi mkono wako wauone Vuta Bwana Mkono wako waweza Wa ajabu kwani we we unaweza Wanatezeka shida taabu Wanali Vuta machozi mkono wako Wauone