Mmmmmmm ah ah ah ah Tumeuona mkono wake bwana Mengi mazuri tumeyaona Mungu umetenda Ni kweli we muweza Ulitamka vitu vikawa Neno tu latosha Ukisema umetenda Bahari shamu Isiraeli Ah uliwavusha Ukawatoa utumwani Watumishi wako umewapa Yote waombayo Ikiwa umependezwa Uamulo hakuna wa kulipinga Hakika we ni Mungu (wa vyote) Unatawala dunia na vilivyomo Makuu umeyatenda (Jehova) Hakika tumeona Tumeuona (ona baba) mkono wako Bwana Matendo yako Bwana ni makuu mno (Na umetutoa) Umetutoa mbali (Mnali kweli) Ukatushika mkono (Ooh mungu) Mahali uliona pekee hatuwezi (Chini chini chini) Chini hata juu (chini yao watu) Watu unawainua (Ooh mungu) Sifa na utukufu ni zako milele (Natutakusifu) Twasifu jina lako (Jina lako baba) Milele tutakusifu (ooh kweli) Daima we umwema tutaishi kwako (aaah tumeona) Tumeuona (Ona baba) Mkono wako Bwana (Bwana kweli) Matendo yako Bwana ni makuu mno (Na umetutoa) Umetutoa mbali (Mbali kweli) Ukatushika mkono (ooh mungu) Mahali uliona pekee hatuwezi (Chini chini chini chini) Chini hata juu (chini hao watu) Watu unawainua (Oooh mungu) Sifa na utukufu ni zako milele (Natutakusifu) Twasifu jina lako (Jina lako baba) Milele tutakusifu (Oooh kweli) Daima we umwema tutaishi kwako Ona Ona Ona Ona Ona Ona Ona Msalabani ulitufia Hm ulitupenda Dhambi zetu ukabeba Baraka zako tuliziomba kweli tumeona Hakika unabariki Oh hata vipaji we ndo hutoa Umetuwezesha Tunaimba na kusifu Walio haki hutowaacha Uliwaahidi Hata mwisho wa dahari Hm watu wako umewapa mamlaka Kwa jina lako Yesu Waponye Na huna ubaguzi Wote ni sawa kwako Umetuita Yesu (tupone Hakika we ni mwema) Tumeuona (Ona baba) Mkono wako Bwana (ona kweli) Matendo yako Bwana ni makuu mno (Na umetutoa) Umetutoa mbali Ukatushika mkono Mahali uliona pekee hatuwezi (Chini chini chini chini) Chini hata juu (chini yao watu) Watu unawainua (ooh unawainua) Sifa na utukufu ni zako milele Twasifu jina lako (jina lako baba) Milele tutakusifu (Ooh kweli) Daima we umwema tutaishi kwako (Aaah tumeona) Tumeuona (Ona baba) mkono wako Bwana (ooh kweli) Matendo yako Bwana ni makuu mno (Na umetutoa) Umetutoa mbali (Mbali kweli) Ukatushika mkono (Oooh mungu) Mahali uliona pekee hatuwezi (Chini chini chini chini) Chini hata juu (chini hao watu) Watu unawainua (Oooh mungu) Sifa na utukufu ni zako milele (Na tutakusifu) Twasifu jina lako (Jina lako baba) Milele tutakusifu (Oooh kweli) Daima we umwema tutaishi kwako (Ona Ona) Ona (Ona Ona) Ona Daima we umwema tutaishi kwako (Ona) Ona (Ona Ona) Ona (Ona Ona) Daima we umwema tutaishi kwako Ona Ona (Ona Ona) Ona (Ona Ona) Daima we umwema tutaishi kwako Ona (Ona Ona) Ona (Ona Ona) Daima we umwema tutaishi kwako