Oooh oooh Umenipa madaraka nitawale mwili wako Nje ya mapenzi niwe Rafiki wa maisha yako Nishafanya makosa nikajeruhi moyo wako Nashukuru haukutoka upendo uliondani yako Tulivyoanza mapenzi Sikudhani tungefikia huku Mi sio wakushindwa kulala mpka unige mabusu Na kama siku nikikuacha basi nitaipata adhabu Na ashindwe shetani Hasilete utengevu mana najua Ikiwa kupata chumba chakupanga ni ngumu Sasa nitawezaje kupata moyo wakuishi nidumu Mungu alijibu kunipa wewe (Unanisitiri) Unanipendaa nana (unanisitiri) Silipi chochote mi (Unanisitiri) Naishi bure ndani ya moyo wako (unanisitiri) Madhaifu Yangu umeyafanya sirii (unanisitiri) Aaah mi unanisitiri Kweli mola Akipanga kukupa hakuna wakupangua Ni neema kubwa kukipata kimvuli Chini ya juaa Msione shavu ladondoka hapo mwanzoni niligunduaa Chaguo La moyo ulimponza mwili Kumjali alienibagua aah Nilitafuta muonekano Mimi muonekano Kumbe mapenzi yanadumu kwa watu wenye tabia mufanano Niliishi na maumivu mimi Yasio na mufano Ila nilipokupata wewe Yakafika kikomo Kichwa kilichoka maswali kutafakari Ningewezaje Mapenzi kwa hii hali Mana Ikiwa kupata chumba chakupanga ni ngumu Sasa nitawezaje kupata moyo wakuishi nidumu Mungu alijibu kunipa wewe (Unanisitiri) Unanipendaa nana (unanisitiri) Silipi chochote mi (Unanisitiri) Naishi bure ndani ya moyo wako (unanisitiri) Madhaifu Yangu umeyafanya sirii (unanisitiri) Aaah mi unanisitiri Oouoh ouohh Una una unanistiri Na mi nimepata wakunitunza mwili Una una unanisitiri Kweli nimepata wakunisuuza mwili Muziksozleri. Html