Kishore Kumar Hits

Balaa MC - Nakuja - Remix şarkı sözleri

Sanatçı: Balaa MC

albüm: Nakuja (Remix)


NAKUJA
Na mchumba mbona hutokei mama weeeh
NAKUJA
Nishachoka kuchoreshana nambie
NAKUJA
Na mchumba mbona hutokei mama weeeh
NAKUJA
Nishachoka kuchoreshana nambieeee
NAKUJA
Namchumba mbona hutokei nakusubiri
NAKUJA
Mi nshafika niko hapa Toka alfajiri
NAKUJA
Guest nishalipa ni mambo yako shwari
NAKUJA
Vaa haraka mamtu fanya uwahi
NAKUJA
Mwenzio nimekumiss mamiloo
NAKUJA
Usipokuja haki ya Mungu ntaumia rohoo
NAKUJA
Nakupenda mi msela sio bishoo
NAKUJA
Njoo basi mwenzako nimemisi shoo
NAKUJA
Siulitaka hela ya wigi nkakupa
NAKUJA
Hata kijora kwa masala nishalipa
NAKUJA
Panda hata bajaji ili uwahi mi ntalipa
NAKUJA
Kuhusu kula mamtu hilo ondoa shaka
NAKUJA
Siku hizi mbona muongo mamiloo.
NAKUJA
Mda wote huo unasema uko kariakoo.
NAKUJA
Punguza kujiangalia kwa kioo.
NAKUJA
Fanya haraka mwenzako nimemisi shoo.
NAKUJA
Ukipiga simu mda wote unasema
NAKUJA
Fanya uwahi ntakuimbia si umesemaa
NAKUJA
Na Ukiwahi ntakupeleka kwa mama
NAKUJA
Sio utani yani amekumisi sana
NAKUJA
Mwenzio nimekumiss mamiloo.
NAKUJA
Usipokuja kuja haki ya mungu ntaumia rohoo.
NAKUJA
Nakupenda mi msela sio bishoo.
NAKUJA
Fanya haraka mwenzako nimemisi shoo.
NAKUJA
Ohoooooo.
NAKUJA
We Mwanangu njoo njoo njoo njoo njoo
NAKUJA
Njoo njoo Ah Njoo ulione
NAKUJA
Hili hapa hili
Hili hapa hili
NAKUJA
Hili hapa hili
Njoo ulione
NAKUJA
Acha bahariaaa aaaaah
NAKUJA
Jamani haipendezi kuganda kama sanamu
NAKUJA
Njoo kati nioneshe mashamsham
NAKUJA
Haipendezi kuganda kama sanamu wee
NAKUJA
Njoo kati nioneshe mashamsham
NAKUJA
Mwanangu ule mchezo wa kuganda ganda
Vinanda mnaganda we unaganda baharia unaganda
NAKUJA

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar