Kishore Kumar Hits

Balaa MC - Boda Boda şarkı sözleri

Sanatçı: Balaa MC

albüm: 26kipaji Singeli Album


Vinanda Classic
We mushizo utawauaaaa
Lololiloliloliloooo
Aaah Chunchuu eheee
Jamanii leo nakuja kwako sikuachii hata dalaa
Jua kesho nikija tena nitakupa dollaa
Riziki mafungu saba kupata na kukosaaa
Usichukie leo kisa sijakupa helaaa
Ehh tupo kwenye mstari tupo kwenye foleni
Zamu yangu itafika tuu,Dumu langu mi la mwisho
Subira huvuta heri nami nitajazaa mama weeh
Basi usinune mama
Napambana nawe kesho utakula nyama
Ona siku hazifanani mama
Ona leo afadhali hata ya jana
Mchumba boss nae anawaka sana
Sijampa hesabu ya kweli tangia jana
Ona pikipiki mafuta haina cheni imelegeaa
Pesa ya kukaza sinaa
Ona matatizo chungu mzimaa
Na ndugu kibaoo ila nipo kama yatimaaa
Ndio nategemeaaaaa
Bodaboda eheeeee
Bodaboda silali na foci upate kula
Bodaboda wohhooo
Bodaboda na force nipate alfu 6 ya kijoraa weeh
Bodaboda eheeeee
Bodaboda mi roho mkononi kwa ajili yako mamaa
Leo nakuja kwako sikuachii hata dalaa
Jua kesho nikija tena nitakupa dollaa
Riziki mafungu saba kupata na kukosaaa
Usichukie leo kisa sijakupa helaaa
Roho yangu nimeibeba mkononii
Hii kazi maisha yangu yapo matatani
Kuna mambo mengi umo barabaranii
Tunachukiwa hatupendwi tunaonekana waunii tuu
Bodaboda yenyewe daywaka mama weee
Saa unanuna nini nikipata shukuruu
Kupata kazi road ngumu sio rahisi mama weeeh
Hatuaminiki tunaonekana magegeduu tuu
Jana nilipakia abiria mbagala rangitatu
Akasema nimpeleke chasimba majimatitu
Kweli bila kusita akakalia sitii
Nami kichwani nishapata rizikii
Kweli kisicho riziki hakilikii
Sindio akanikosa kosa nusu ya kupigwa risasii
Bodaboda eheeeee
Bodaboda silali na foci upate kula
Bodaboda wohhooo
Bodaboda na force nipate alfu 6 ya kijoraa weeh
Bodaboda eheeeee
Bodaboda mi roho mkononi kwa ajili yako mamaa
Ahh balaa mc 26 kipajii eheee
Ahh nikiwa vinanda classic eheee
Ahh nikiwa na producer Fadhili chunchu chuncheeeh
Ahh team ile ilee 26 kipajii ehh
Nakubali sana maneger small doh
Ahh hemedii ehhh
Ahh nakubali sana watoto wa mbagala temeke kinondoni mpaka ilalaa
Wanangu wa bodaboda nakubali sana wanangu wa maji matitu
Hii hapa nyinginee tenaa (usinunee mamaa)
Lyrics By Chamazi Music

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar