Kishore Kumar Hits

Bony Mwaitege - Ni Kwa Neema şarkı sözleri

Sanatçı: Bony Mwaitege

albüm: Mama Ni Mama

Kwa neema ya Bwana kwa neema
Kwa neema ya Bwana kwa neema
Hivi nilivyo mimi ni kwa neema
Wala sio kwa ujanja wangu ni kwa neema ya Bwana

Ohh aah
Nakushukuru Mungu kwa neema inayofanya niishi
Nakushukuru mungu kwa ajili ya yesu
Mwanao Nimepata Neema
Nakushukuru mungu wa mbinguni
Ni kwa neema yako ninakula ninakunyua
Hivi nilivyo mimi ni kwa neema yako
Wala si kwa ujanja wangu ni kwa neema
Hivi nilivyo mimi ni neema
Wala si ujanja wangu ni neema Bwana
Kwa neema ya Bwana kwa neeema (Neema ya Yesu)
Kwa neema ya Bwana kwa neeema (Neema ya Bwana)
Hivi nilivyo mimi ni kwa neema (Neema ya Yesu)
Wala sio kwa ujanja wangu ni kwa neema (Neema ya Bwana)
Hivi nilivyo mimi ni kwa neema(Neema ya Yesu)
Wala sio kwa ujanja wangu ni kwa neema ya Bwana (Neema ya Msalaba)
Mimi ningekuwa nani kama si wewe
Nani angenisikiliza kama si wewe Yesu
Nani angelisikiliza nikiomba
Naomba nasikilizwa kwa neema yako
Nimeomba mke mwema umenipa
Sio kwa ujanja wangu ni kwa neema
Nimeomba mke mwema umenipa
Sio kwa ujanja wangu ni kwa neema eeh

Nani angekusikiliza ndugu yangu
Nani angekusikiliza ukiomba
Umeomba umejibiwa maombi
Sio kwa ujanja wako ni kwa neema
Usidharau wengine ndugu yangu
Vyote ulivyo navyo ni kwa neema
Hivyo ulivyo ndugu ni kwa neema
Sio kwa ujanja wako ni kwa neema
Hivi nilivyo mimi ni kwa neema
Sio kwa ujanja wangu ni kwa neema
Hivi tulivyo sisi ni kwa neema
Sio kwa ujanja wetu ni kwa neema eh
Kwa neema ya Bwana kwa neeema (Neema ya Yesu)
Kwa neema ya Bwana kwa neeema (Neema ya Bwana)
Hivi nilivyo mimi ni kwa neema (Neema ya Yesu)
Wala sio kwa ujanja wangu ni kwa neema ya Bwana (Neema ya Bwana)
Hivi nilivyo mimi ni kwa neema(Neema ya Yesu)
Wala sio kwa ujanja wangu ni kwa neema ya Bwana (Neema ya Msalaba)
Mimi ningekuwa nani kama si wewe
Nani angenisikiliza kama si wewe Yesu
Nani angelisikiliza nikiomba
Naomba nasikilizwa kwa neema yako
Nimeomba mke mwema umenipa
Sio kwa ujanja wangu ni kwa neema
Nimeomba mke mwema umenipa
Sio kwa ujanja wangu ni kwa neema eeh
Kwa neema ya Bwana kwa neeema (Neema ya Yesu)
Kwa neema ya Bwana kwa neeema (Neema ya Bwana)
Hivi nilivyo mimi ni kwa neema (Neema ya Yesu)
Wala sio kwa ujanja wangu ni kwa neema (Neema ya Bwana)
Hivi nilivyo mimi ni kwa neema(Neema ya Yesu)
Wala sio kwa ujanja wangu ni kwa neema ya Bwana (Neema ya Msalaba)
Kwa neema ya Bwana kwa neeema (Neema ya Yesu)
Kwa neema ya Bwana kwa neeema (Neema ya Bwana)
Hivi nilivyo mimi ni kwa neema (Neema ya Yesu)
Wala sio kwa ujanja wangu ni kwa neema (Neema ya Bwana)
Hivi nilivyo mimi ni kwa neema(Neema ya Yesu)
Wala sio kwa ujanja wangu ni kwa neema ya Bwana (Neema ya Msalaba)

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar