Kishore Kumar Hits

Pastor Anthony Musembi - Kaa Nami şarkı sözleri

Sanatçı: Pastor Anthony Musembi

albüm: Yadah Worship


Kaa nami Yesu, nakuhitaji maishani,
Adui ananitazama kazi njema ni nayo fanya,
Kama umbwa mwitu ananiwindawinda,
Kunimaliza, aa anitazama kazi mungu niyofanya kama mawindo ya poli ananiwinda ilikunimaliza aah, ewe mwenye kuniteua najua unanipenda maana uliniita aah nakuhitaji sana,
Iliuzindi kunilinda, zidi kunipigania Yesu nionyeche njia najua unanipenda

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar