(Ndio baba, tunasongea mbele yako Kwa maombi
Unakuharibisha Kwa ibada hii, ututawale Jehovah,
Siwezi bila wewe, mwana wa mungu, tumejaribu)
(Solo) Niongoze, Mungu Wangu, Niongoze, Mungu Wangu
(All) Niongoze, Mungu Wangu, Niongoze, Mungu Wangu
(Solo) Niongoze, Mungu Wangu, Niongoze, Mungu Wangu
(All) Niongoze, (baba) Mungu Wangu
(Baba), Niongoze, (baba) Mungu Wangu
(Solo) Niongoze, Mungu Wangu, Niongoze, Mungu Wangu
(All) Niongoze, (emanueli) Mungu Wangu,
(Emanueli) Niongoze, (emanueli) Mungu Wangu
(Solo) Niongoze, maishani, Niongoze, Mungu Wangu
(All) Niongoze, (ooh) Mungu Wangu, Niongoze, (eh) Mungu Wangu
(Solo) Siwezi bila wewe, Mungu Wangu, Niongoze, ninakuomba
(All) Niongoze, (baba) Mungu Wangu (eh), Niongoze, Mungu Wangu
(Solo) Nisaidie, Mungu wangu, nisaidie Mungu wangu
(All) Nisaidie, (ooh) Mungu wangu, nisaidie Mungu wangu
(Solo) Nisaidie, Mungu wangu, nisaidie baba wangu
(All) Nisaidie, (baba) Mungu wangu, (baba) nisaidie Mungu wangu
(Solo) Siwezi bila wewe, Mungu wangu, nisaidie ninakuomba
(All) Nisaidie, (baba) Mungu wangu,
(Baba) nisaidie (baba) Mungu wangu
(Solo) Maishani magumu, bila wewe, nisaidie ninakuomba
(All) Nisaidie, (baba) Mungu wangu,
(Baba) nisaidie (baba) mungu wangu
(Solo) Safarini ndefu, bila wewe, nisaidie, nilifike
(All) Nisaidie, (baba) mungu wangu,
(Ndio baba) nisaidie mungu wangu (nisaidie)
(Pokea sifa bwana)
Niokoe jehovah Wangu, niokoe mungu wangu
(All) Niokoe, (eeh) mungu Wangu, niokoe mungu Wangu
(Solo) niokoe, nyasaye Wangu niokoe ninakupenda
(All) Niokoe, (eeh) mungu Wangu, (Owami wanje) niokoe mungu Wangu
Niokoe nagali, Niokoe, nahatari
(All) Niokoe, (baba) mungu Wangu, niokoe mungu Wangu
(Solo) Wachawi wakikuja ninakuomba Niokoe maishani
(All) Niokoe, (ooh) mungu Wangu, niokoe mungu Wangu
(Solo) mpango ya adui ninakuomba Niokoe nisinipate
(All) Niokoe, (baba) mungu Wangu, (ooh) niokoe (ooh) mungu Wangu
(Solo) mabaya na adui tunakuomba tuokoe mungu Wangu
(All) Tuokoe (baba) mungu Wangu tuokoe mungu Wangu
(Solo) Hatuwezi bila wewe tunakuomba baba baba baba tuokoe
(All) Tuokoe (baba) mungu Wangu tuokoe mungu Wangu
(Solo) Ninayenyekea mbele zako, nakuomba waonenyekevu
(All) Niokoe (nakujika) mungu Wangu (nakujika) Niokoe mungu Wangu
(Solo) nakujika mbele zako mungu Wangu Niokoe nisaidie
(All) Niokoe, mungu Wangu, niokoe mungu Wangu
(Solo) nitakase Jehovah Wangu nitakase maishani mwangu
(All) Nitakase (ooh) mungu Wangu nitakase mungu Wangu
Nitakase maisha haya nakuomba unitakase
(All) nitakase, (ooh baba) mungu Wangu,
(Baba) nitakase (baba) mungu Wangu
Nitakase na hadasau nitakase naulimwengu
(All) Nitakase (bwana yesu) mungu Wangu
(Bwana yesu) nitakase (bwana yesu) mungu Wangu
Adui hakikachanganya na mawimbi
Ninakuomba baba unitakase maishani mwangu
All) Nitakase (ooh) mungu Wangu
(Ooh) nitakase (ooh) mungu Wangu
Tunayenyekea tunakuomba tutakase na Dhambi zote
(All) tutakase (baba) mungu Wangu tutakase mungu Wangu
Nitakase Jehovah wangu nitakase maishani mwangu
Nitakase (ooh) mungu Wangu
(Ooh) nitakase (ooh) mungu Wangu
(Solo) Utukubali ibada zetu sikubali tunakuomba
(All) Sikubali mungu wetu sikubali mungu wetu
(Solo) Utukubali baba yangu utukubali tunakuomba
(All) Sikubali mungu wetu sikubali mungu wetu
(Solo) Kubali taifa letu tunakuomba sikubali sadaka zetu tunakuomba
(All) Sikubali mungu wetu sikubali mungu wetu
(Solo) Sauti zetu tukumbele zako baba sikubali Yahweh
(All) Sikubali mungu wetu sikubali mungu wetu
(Solo) Maombi yawa yote Yahweh tunakumbele zako tunakuomba
(All) Sikubali mungu wetu sikubali mungu wetu
Поcмотреть все песни артиста