,,,,,,,
Hakuna wakufanana na Yahweh(hakuna wa kufanana naye)
Hakuna wa kufanana Mungu(hakuna wa kufanana naye)
Yeye anaweza(yeeeeye anaweza,,, yeeeeye anaweza hakuna wakufanana naye)
Yeeye aokoa baba (yeeeye aokoa yeeye aokoa hakuna wakufanana naye)
Yeeeye abariki Muuungu(yeeye abariki yeeeye abariki hakuna wakufanana naye)
Na yeeeye atawala Yaaahweh(Yeeeye atawala yeeye atawala hakuna wakufanana naye)
Aaaa nayeeeye Jemedali wetu (yeeeye jemedali yeeeye jemedali hakuna wa kufanana naye)
Sema Hakuna wakufanana na Baaaba (hakuna wa kufanana naye
Tena hakuna wa kufanana na Yahweh, (hakuna wa kufanana naye)
Поcмотреть все песни артиста
Sanatçının diğer albümleri