Kishore Kumar Hits

Pastor Anthony Musembi - Natamani Na Wamebarikiwa şarkı sözleri

Sanatçı: Pastor Anthony Musembi

albüm: Pacato Worship

Natamani Kufanana
(Solo) Natamani kufanana nawe, natamani kufanana nawe
Siku zote za maisha yangu, siku zote za maisha yangu, natamani mimi
(All) Natamani kufanana nawe, natamani kufanana nawe (kufanana nawe)
Siku zote za maisha yangu, siku zote za maisha yangu
(Solo) Maisha yangu nayakabili kwako, Siku zote za maisha yangu
Siku zote za maisha yangu (natamani mimi)
(All) Natamani kufanana nawe, natamani kufanana nawe
Siku zote za maisha yangu, (siku zote) siku zote za maisha yangu
(Solo) Uzima wangu nimeokea kwako uhai wangu naukabili kwako
Siku zote za maisha yangu, siku zote za maisha yangu (mimi natamani)
Natamani kufanana nawe, natamani kufanana nawe
(All)Siku zote za maisha yangu, (ushiriki nawe baba)
Siku zote za maisha yangu (siku zote)
Siku zote za maisha yangu, (siku zote)
Siku zote za maisha yangu (ila kutata tamaa)
Siku zote za maisha yangu
Wamebarikiwa
(Solo) Wamebarikiwa wanaotafuta uso wake mungu baba
(All) Wamebarikiwa wanaotafuta uso wake mungu baba
(Solo) Watainuliwa wanaotafuta uso wake mungu baba
(All) Wamebarikiwa wanaotafuta uso wake mungu baba
(Solo) sema uso, (all) wake mungu baba, uso wake mungu baba
(Solo) sema uso, (all) wake mungu baba, uso wake mungu baba
(Solo) sema uso, (all) wake mungu baba, uso wake mungu baba
(Solo) Wamebarikiwa wanaotafuta uso wake mungu baba
(All) Wamebarikiwa wanaotafuta uso wake mungu baba
(Solo) watafanikiwa wanaotafuta uso wake mungu baba
(All) Wamebarikiwa wanaotafuta uso wake mungu baba
(Solo) wana amani wanaotafuta uso wake mungu baba
(All) wamebarikiwa wanaotafuta uso wake mungu baba
(Solo) sema uso, (all) wake mungu baba uso wake mungu baba
(Solo) sema uso, (all) wake mungu baba uso wake mungu baba
(Solo) uso, (all) wake mungu baba uso wake mungu baba
(Solo) sema uso, (all) wake mungu baba uso wake mungu baba
(Hallelujah baba, tunaotafuta uso wako
Maana wewe ndiwe tegemeo letu wamebarikiwa
Wana amani wana wanasema neno lako)
(Say the last 2 verses until fade.)

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar