Kishore Kumar Hits

Pastor Anthony Musembi - Niumbie Moyo Safi şarkı sözleri

Sanatçı: Pastor Anthony Musembi

albüm: Live Concert


Niumbie moyo safi,
Niumbie moyo mpya,
Moyo wa kunyenyekea,
Na kubondeka mbele zako
Nisikilize Yahweh
Daudi akasema:
Roho mtakatifu
(Hakuna kama wewe)
Roho wake baba
(Hakuna kama wewe)
Roho wa uweza
(Ni nani kama wewe)
Roho wake Baba
Hakuna kama wewe,
Hakuna Mungu, kama wewe
Hakuna kama wewe,
Hakuna Mungu, kama wewe
Create in me a clean heart,
Create in me a new heart,
A heart that is broken before you

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar