Kishore Kumar Hits

One the Incredible - Leo Tu - Radio Edit şarkı sözleri

Sanatçı: One the Incredible

albüm: R.A.P (Representing Afrika Popote)


Motto
Yeah
S.o.n.g.a
Songa niko na Bin Laden (Motto records)
Yeah karibu kwenye dunia, huku tabu tu tunaharibu na kujutia,
Wapo watakaokupenda watakaokuchukia na unaweza ukatenda dhambi bila kukusudia
Binadamu hapaswi kusujudiwa
Mpe heshima na akikataa inachukuliwa
Namulika taa ukitafutiwa
Usije ukapigwa ## ukikaguliwa
Kingine huwezi pendwa na wote
Ili kujifunza inabidi kulenga na ukose
Wengine wanakwenda kwa tope
We ukipata manzi usisite nenda na upose
Kila kitu siku hizi business, business
Kama huamini mwite Witness, Witness
Aeleze kuhusu hii kesi, hii kesi
Acha majungu piga kazi ujaze pesa kwa briefcase
Leo leo leo leo leo leo leo leo leo leooo ×2
Na na nasema na wanangu nasema s.o.n.g.a
Na na nasema na wanangu nasema songa
Yeah ukishaanza kupata tu akili
Jua maisha ni safari na tunasafiri
Inabidi uwe tayari kuyakabili
Nahitaji ujasiri mpaka mtu kuwa kamili
Ishike elimu itakupa vingi sana
Najua unapata mzuka nikichana
Eehh yeah ila niko hivi mwana
Niite Songa baba au dingi kijana (sina mtoto)
Huku kuna visa kwa spika
Vinavosikika mpaka kwenye masikio ya kichwa
Kwamba watu waliiba wakashikwa
Wakajiuzuru na kesi ndo ikaisha
Sasa nenda uibe kuku uone mbinde upigwe uumwe jike supu
Wakuzibe wakuume wakuchinje tupu wakakuulie porini wakuzike huku
Leo leo leo leo leo leo leo leo leoooo ×2
Na na nasema na wanangu nasema s.o.n.g.a
Na na nasema na wanangu songa
'Kwamba watu waliiba wakashikwa
Wakajiuzuru na kesi ndo ikaisha
Sasa nenda uibe kuku uone mbinde upigwe uumwe jike supu'

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar