Kishore Kumar Hits

Mwasiti - Bado - Remix şarkı sözleri

Sanatçı: Mwasiti

albüm: Kamili


Bill Nas
Nachotaka sipati
Ndo kwanza napungua, mawazo yanikondesha
Napokwenda sifiki
Na hili jua, lanichoma lanipausha
Kujishusha mpaka sirefuki kutia huruma
(Bado) naonekana sioneshi kuenzi
(Bado) kinachosemwa chochote siruki niko nyuma nyuma
(Bado) naonekanaga naficha ushenzi
Sina habari nao
Sina imani nao
Sina upepo nao
Sinaga deni nao
Sina habari nao
Sina imani nao
Sina upepo nao
Sinaga neno nao
Kwa nini mnapendaga kuvuruga watu
Kwa nini mnapanda panda vichwa vya watu
Mnaona dezo mkipendwa, mkipendwaa
Mna wepesi wa kutenda, wa kutendaa
Kujishusha mpaka sirefuki kutia huruma
(Bado) naonekana sioneshi kuenzi
(Bado) kinachosemwa chochote siruki niko nyuma nyuma
(Bado) naonekanaga naficha ushenzi
Sina habari nao
Sina imani nao
Sina upepo nao
Sinaga neno nao
Sina habari nao
Sina imani nao
Sina upepo nao
Sinaga neno nao
Bill Nas
Ooh mama
I see you're make's cool mama
Unapenda complain sana
Complain ya kwamba kuongea sana
I don't care mama
Mara nalivua pendo naliua lengo
Moyo wako kaa nao ndo yako maneno
Sometimes you don't need somebody to tell ya
Kitu cha msingi you know that I care
People don't die people don't love boo
Nipo deep ile mbaya we hutaki tuu (hah)
Najishusha bado huridhiki watia huruma
(Bado) yaonekana unapokea mambo meengi
(Bado) 'napokua una ukweli unajiuma uma
(Bado) achana na hayo mambo ya kisheenzi
Sina habari nao
Sina imani nao
Sina upepo nao
Sinaga neno nao
Sina habari nao
Sina imani nao
Sina upepo nao
Sinaga neno nao

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar