Mmmh Imma The Boy Kosa kukueleza jinsi navyougua Roho, moyo, pendo ayaaya Kama ungeelewa, hili shamba lisingevunwa aah Mazao yanafanana na kijiji ulichokwenda aah Jinsia moja ila tofauti ni tabia aa aah aa Ni we unaenifanya usingizi nakosa eeh Ni we unaenifanya usiku nashindwa kulala Ni we unaenifanya mimi nashinda kuwaza Ni we unaenifanya mapenzi nayaona machungu, na kufumba macho Hata nikilia, machozi yanaanguka chini Hakuna wa kuyakinga, wala yule wa kuyasitiri Jua ni wewe ulenipa ufalme wa mapito oh oh Acha nijute ukarimu wako na upole ndio chanzo Jua ni wewe ulenipa ufalme wa mapito oh oh Acha nijute ukarimu wako na upole ndio chanzo Moyo, roho ayaaaya Hata na mimi iih ii Moyo, roho aya yaya Nikikukosea nakubembeleza huku unacheka ha ha Wanikumbatia, sura kifuani umeilaza ha ha Kumbe kwako moyoni unimanya Kenga suda duna kamwezi bwana Kumbe kwako moyoni unimanya Kenga suda duna kamwezi bwana Ungefumania hata sura nisingenyanyua ah ah Sometimes I feel bora nikaishi mbali Mapenzi ni ya wawili jama Eeh Moyo, roho ayaaya Ni we unaenifanya mimi nashinda kuwaza aah Ni we unaenifanya mapenzi nayaona machungu Na kufumba macho Ni wewe baby Ni we kichunda changu Ni wewe baby Ni wewe, ni wewe, ni wewe, ni wewe Ni wewe kichuna changu Jua ni wewe ulenipa ufalme wa mapito oh oh Acha nijute ukarimu wako na upole ndio chanzo Jua ni wewe ulenipa ufalme wa mapito oh oh Acha niwaze ukarimu wako na upole ndio chanzo Moyo, roho ayaaaya Hata na mimi iih ii Moyo, roho aya yaya Jua ni wewe ulenipa ufalme wa mapito oh oh Acha nijute ukarimu wako na upole ndio chanzo Jua ni wewe ulenipa ufalme wa mapito oh oh Acha niwaze ukarimu wako na upole ndio chanzo Moyo, roho ayaaaya Hata na mimi iih ii Moyo, roho aya yaya