Verse Wengine wanalia sababu ya kupenda lakini wameachwa... wameachwa Wengine wanapigwa bado wang'ang'ana sababu ya mapenzi... Wengine wafumania lakini waendelea sababu ya kupenda Wengine wajiua wao walipendwa lakini wameachwa Leo Hook Labda tunapenda tusipopendeka aaah tusipotakiwa tunavumilia Labda tunapendwa tusipopapenda tusipopataka tunasubiria Serebuka2 unaweza penda tena we Verse Wengine nao waua ili wapendwe maishani mwishowe wateseka Wengine walishaapa watawapenda milele wakarudia yaleyale Wapo walioroga kushinda kwa waganga kupigania penzi Lao lao Wengine zao kuhonga wao walipendwa pesa zao zikaisha wewe (Repeat hook & chorus) Maisha ndivyo yalivyo kupata na kukosa Maisha ndivyo yalivyo kutenda na kutendwa Lakini yote mipango ya mola alichopanga Lala lala eeh (Repeat chorus)... End