Bill Nas Nachotaka sipati Ndo kwanza napungua, mawazo yanikondesha Napokwenda sifiki Na hili jua, lanichoma lanipausha Kujishusha mpaka sirefuki kutia huruma (Bado) naonekana sioneshi kuenzi (Bado) kinachosemwa chochote siruki niko nyuma nyuma (Bado) naonekanaga naficha ushenzi Sina habari nao Sina imani nao Sina upepo nao Sinaga deni nao Sina habari nao Sina imani nao Sina upepo nao Sinaga neno nao Kwa nini mnapendaga kuvuruga watu Kwa nini mnapanda panda vichwa vya watu Mnaona dezo mkipendwa, mkipendwaa Mna wepesi wa kutenda, wa kutendaa Kujishusha mpaka sirefuki kutia huruma (Bado) naonekana sioneshi kuenzi (Bado) kinachosemwa chochote siruki niko nyuma nyuma (Bado) naonekanaga naficha ushenzi Sina habari nao Sina imani nao Sina upepo nao Sinaga neno nao Sina habari nao Sina imani nao Sina upepo nao Sinaga neno nao Bill Nas Ooh mama I see you're make's cool mama Unapenda complain sana Complain ya kwamba kuongea sana I don't care mama Mara nalivua pendo naliua lengo Moyo wako kaa nao ndo yako maneno Sometimes you don't need somebody to tell ya Kitu cha msingi you know that I care People don't die people don't love boo Nipo deep ile mbaya we hutaki tuu (hah) Najishusha bado huridhiki watia huruma (Bado) yaonekana unapokea mambo meengi (Bado) 'napokua una ukweli unajiuma uma (Bado) achana na hayo mambo ya kisheenzi Sina habari nao Sina imani nao Sina upepo nao Sinaga neno nao Sina habari nao Sina imani nao Sina upepo nao Sinaga neno nao