Kishore Kumar Hits

Ukhty Dyda - Twamsifu şarkı sözleri

Sanatçı: Ukhty Dyda

albüm: Vigelegele


Twamsifu msifika, Muhammad haso shaka
Maana ametakasika, twamswalia
(Twamsifu msifika, Muhammad haso shaka
Maana ametakasika, twamswalia)
Twamsifu msifika, Muhammad haso shaka
Maana ametakasika, twamswalia
(Twamsifu msifika, Muhammad haso shaka
Maana ametakasika, twamswalia)
Wallah twasikitika, Muhammad kututoka
Jamii ya dhalilika, اخيل الصباح
Wallah twasikitika, Muhammad kututoka
Jamii ya dhalilika, اخيل الصباح
Sisi sote tul'o hapa, twatarajia baraka
Kwanini waja twasita kumswalia?
Twamsifu msifika, Mohamad haso shaka
Maana ametakasika, twamswalia

Hushangazwa na uuma, baadhi kutusakama
Eti tunalolifanya tumelizua
Hushangazwa na uuma, baadhi kutusakama
Eti tunalolifanya tumelizua
An'okadiria Allah, malipo twatarajia
Tusiache mswalia, tumonadhiria

Mwisho nauhasa umma, tusimame sote hima
Aswaliwe wetu bwana Muhammad Ya
Mwisho nauhasa umma, tusimame sote hima
Aswaliwe wetu bwana Muhammad Ya
Hidaya twaendelea, kumsifu ye Nabiya
Ah bila yeye tungekuwa gizani piya
Twamsifu msifika, Muhammad haso shaka
Maana ametakasika, twamswalia
(Twamsifu msifika, Muhammad haso shaka
Maana ametakasika, twamswalia)
Twamsifu msifika, Muhammad haso shaka
Maana ametakasika, twamswalia
(Twamsifu msifika, Muhammad haso shaka
Maana ametakasika, twamswalia)
Leo tuna mswalia (mtumwa mwema)
Muhammad n'nabiya (mtumwa mwema)
Leo tuna mswalia (mtumwa mwema)
Muhammad n'nabiya (mtumwa mwema)
Sifa zake nyingi sana (hadii bana)
Mtume wetu heshima (hadii bana)
Twapambika sifa njema (hadii bana)
Kwa raha bila karaha (habibi)
Leo tuna mswalia (mtumwa mwema)
Muhammad n'nabiya (mtumwa mwema)
Leo tuna mswalia (mtumwa mwema)
Muhammad n'nabiya (mtumwa mwema)
Twamsifia hashima (hadii bana)
Kipanzi chake karima (hadii bana)
Kwa sifa kila aina (hadii bana)
Twajivunia mtumwa mwema (leo)
Leo tuna mswalia (mtumwa mwema)
'Sikitika (hadii bana)
Mohamad kututoka (hadii bana)
Jamii ya dhalilika (hadii bana)
Umma unateketa ah
Leo tuna mswalia (mtumwa mwema)
Muhammad n'nabiya (mtumwa mwema)
Leo tuna mswalia (mtumwa mwema)
Muhammad n'nabiya (mtumwa mwema)
Sisi sote tulio hapa (hadii bana)
Twaomba maji ya baraka (hadii bana)
Kwanini waja twasita (hadii bana)
Kwa huzuni analia habibi
Leo tuna mswalia (mtumwa mwema)
Muhammad n'nabiya (mtumwa mwema)
Leo tuna mswalia (mtumwa mwema)
Muhammad n'nabiya (mtumwa mwema)
Hushangazwa na uumwa (hadii bana)
Na radhi hutusakama (hadii bana)
Lolote tunalolifanya (hadii bana)
Tumelizua yatima jamani
Leo tuna mswalia (mtumwa mwema)
Muhammad n'nabiya (mtumwa mwema)
Leo tuna mswalia (mtumwa mwema)
Muhammad n'nabiya (mtumwa mwema)
Anakadiria Allah (hadii bana)
Malipo twatarajia (hadii bana)
Tusiache mswalia (hadii bana)
Tuwe muhashimia habibi
Leo tuna mswalia (mtumwa mwema)
Muhammad n'nabiya (mtumwa mwema)
Leo tuna mswalia (mtumwa mwema)
Muhammad n'nabiya (mtumwa mwema)
Hidaya twaendea (hadii bana)
Kumsifu Mnabiya (hadii bana)
Bila yeye tungekuwa (hadii bana)
Giza tungejionea habibi
Leo tuna mswalia (mtumwa mwema)
Muhammad n'nabiya (mtumwa mwema)
Leo tuna mswalia (mtumwa mwema)
Muhammad n'nabiya (mtumwa mwema)
Masha Allah

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar